NextSIO LAZIMA RIZKI IWE NI MALI,
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 30, 2021
UNAWEZA RUZUKIWA
MWANAMKE AKAWA NI MSAADA KWA MAISHA YAKO......✌️
NextMnyororo Wa Hisia Ni Mwepesi Sana Ila Ni Mgumu Sana Kukatika……..✍️
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 30, 2021
NextNot every smaile is real, Not every tear is pure. 💯 pic.twitter.com/qUCJFT2eT3
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 24, 2021
NextNot every smaile is real, Not every tear is pure. 💯 https://t.co/Rk7fC0dsZ6
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 24, 2021
Next" usione najituma sana ukahisi najitesa hapana, nikwasababu nyumbani sina cha kurithi "
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 24, 2021
NextUnaweza Kushindwa Kuishi Na Umpendae Kwa Sababu Macho Yako Yapo Makini Kutazama Makosa Yake Kuliko Mazuri Yake Anayokufanyia..
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 24, 2021
NextUnapoamua kuwa serious na maisha yako na maendeleo yako, pia jiandae kugombana na wengi,
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 24, 2021
wengi wanataka kukutumia so unapo change wanakua maadui, na hao ndo binadamu wa karne hii!😎
NextKama huna kipato kama chao, basi matumizi yako yasiwe kama yao✍.
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 24, 2021
NextMacho na mioyo ya watu ina nguvu ya kuharibu jambo lako kuliko maneno yao, jifunze kuhifadhi mafanikio yako, mipango yako na hatua zako unazopiga kwenye maisha yako. Tuache ile tabia ya deal done, au Alhamdulillah wakati ndiyo kwanza Dalali kakuonyesha kiwanja tu. JILINDE✍️
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 24, 2021
NextHakuna watu wanaoumia mioyo kama wale waliotegemea mabaya yakukute na hayajakukuta...
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 24, 2021
NextUsifanye haraka kutaka kushagiliwa
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 24, 2021
Usifanye haraka kutaka kutajwa,
Usifanye haraka kutambulika,
Fanya haraka na tumia muda mwingi kunoa uwezo wako..✍️
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 23, 2021Next
NextKuwa Na Furaha Haimaanishi Maisha Ni Mazuri Na Sahihi Kwako Bali Ni Kukubali Makosa Yako Ya Zamani, Kukubali Mapungufu Yako Ya Sasa Na Yajayo, Kukubali Sio Kila Mtu Atakupenda, Kukubali Huwezi Kumbadilisha Kila Mtu, Kukubali Kuwa Kila Mtu Na Kila Kitu Kina Mipaka Yake…..✌️ pic.twitter.com/8xx4hKqkvP
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 20, 2021
NextJust posted a photo https://t.co/5hvLMRa5jS
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 20, 2021
NextMiongoni mwa wanaokuchukia, wengi wako kwenye mkumbo wa kukuchukia sababu wamesikia maelezo ya upande mmoja tu dhidi yako. Kadri nawe unavyoamua kuwachukia na kuwaweka mbali, ndio unawaunganisha dhidi yako na kuwathibitishia uongo waliolishwa dhidi yako. Wasogelee uwatenganishe!
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 20, 2021
NextUkimkwepa mtu wakati wa shida, ndio umechagua pia kujikwepesha nae wakati wa neema yake.
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 20, 2021
NextMkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 20, 2021
NextKesho unaweza kushangiliwa na walewale waliokuzomea, Usikate Tamaa...
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 20, 2021
NextChuki zao zipo kwenye utani sikiliza vizuri wakiwa *wanakutania*
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 20, 2021
Nextikumbukwe Ndoto sio kushindana na Marafiki bali kubadilisha hali duni za Nyumbani, Siku Njema...
— Islam Abdallah Omary (@IslamAbdallahO1) October 20, 2021